Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Ameendelea na Ziara Yake Mkoa wa Kaskazini Unguja leo na Kuzungumza na Wafanyabiashara wa Soko la Kinyasini leo.

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud akizungumza na Wananchi katika eneo la Soko la Kinyasini baada ya kuusimamisha msafara wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Hussein Ali Mwinyi, kutoka kero zao, wakati wa kuaza ziara yake leo katika Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Wananchi na Wafanyabiashara katika Soko la Kinyasini Mkoa wa Kaskaziniu Unguja wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud akizungumza na Wananchi hao baada ya kuusimamisha msafara wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati akiendelea na ziara yake katika wa Kaskazini Unguja leo.
MWANANCHI wa Kijiji cha Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ndg.Vuai Makame akisisitiza jambo wakati akiwasilisha kero yake kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) aliposimama katika eneo la Soko la Kinyasini kuzungumza na na Wananchi wa eneo hilo la Biashara, wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja
MWANANCHI wa Kijiji cha Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ndg. Sheha Juma (Dosa) akizungumza kero yake kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) aliposimama katika eneo la Soko la Kinyasini kuzungumza na na Wananchi wa eneo hilo la Biashara, wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja
MWANANCHI wa Kijiji cha Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja. akizungumza kero yake kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) aliposimama katika eneo la Soko la Kinyasini kuzungumza na na Wananchi wa eneo hilo la Biashara, wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja

Mama lishe wa Soko la Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja.Bi.Fatma Nurdin akiwasilisha kero yake kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) aliposimama katika eneo la Soko la Kinyasini kuzungumza na na Wananchi wa eneo hilo la Biashara, wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi na Wafanyabiashara wa eneo la Soko la Kinyasini Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, wakati wa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja na kusimama kusikiliza kero zao

WANANCHI wa Kijiji cha Kinyasini Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na Wananchi hao na kusikiliza kero zao, akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.