Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Ziarani Nchini Morocco

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Africa wa Morocco Nasser Bourita, Jijini Rabat. akiwa katika ziara yake Nchini Moroco.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Africa wa Morocco Nasser Bourita, Katika Mazungumzo hayo aliambatana na Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar Lela Muhamed Mussa  Jijini Rabat. 

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu wa Morocco Saad Dine El Otmani alipowasili ofisini kwake, Jijini Rabat.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Morocco Saad Dine El Otmani, Jijini Rabat Julai 13, 2021. 
Waziri Mkuu wa Jmhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akiagana na Waziri Mkuu wa Morocco Saad Dine El Otmani, baada ya kufanya mazungumzo Jijini Rabat Julai 13, 2021.

                                                                                  Picha na OWM
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.