Habari za Punde

ZAT Yakabidhi Vifaa Vya Michezo Kwa Michuano ya Yamleyamle Cup Zanzibar.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akipokea zawadi za washindi wa mashindano ya Yamle Yamle Cup zilizotolewa na Mwenyekiti wa Kampuni ya ZAT Bw. Mohamed Raza.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla alipokea zawadi za washindi wa mashindano ya yamle yamle cup zilizotolewa na Bwana Mohamed Raza Mwenyekiti wa Kampuni ya ZAT.

Mhe. Hemed alitaka wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kujitathmini kupitia mashindano hayo ili kurejesha hadhi ya soko visiwani Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.