MENEJA Mwandamizi kwa wateja binafsi wa Benki ya NMB.Ndg. Ally Nyingite akiwasilisha
mada katika Semina ya siku mbili kwa wastaafu watarajiwa katika mwaka wa fedha
2021-2022, semina hiyo iliandaliwa na
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na kudhaminiwa na benki
ya NMB ilifanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdul wakil Jijini Zanzibar.

WASTAAFU watarajiwa katika mwaka wa fedha 2021/2022 wakiwa katika semina
ya siku mbili iliyoandaliwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma
(PSSSF) iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Jijini
Zanzibar.

MENEJA wateja maalum kutoka Benki ya CRDB, Crispin Sichalwe akitoa mada katika
Semina ya siku mbili kwa wastaafu watarajiwa katika mwaka wa fedha 2021-2022,
semina hiyo iliandaliwa na Mfuko wa
Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na kufanyika katika ukumbi wa
Sheikh Idrissa Abdul wakil Jijini Zanzibar.
WASTAAFU watarajiwa katika mwaka wa fedha 2021/2022 wakiwa katika semina
ya siku mbili iliyoandaliwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma
(PSSSF) iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Jijini
Zanzibar.
WASTAAFU watarajiwa katika mwaka wa fedha 2021/2022 wakiwa katika semina
ya siku mbili iliyoandaliwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma
(PSSSF) iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Jijini
Zanzibar.
MGENI Rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar
anaeshughulikia masuala ya TEHAMA, Rashid Said Rashid akiwa katika picha ya
pamoja na waandaaji na wadhamini wa semina
ya siku mbili kwa wastaafu watarajiwa iliyoandaliwa na Mfuko wa Hifadhi ya
Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na kufanyika katika ukumbi wa Sheikh
Idrissa Abdul wakil Jijini Zanzibar.
MGENI Rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar
anaeshughulikia masuala ya TEHAMA, Rashid Said Rashid akiwa katika picha ya
pamoja na wastaafu watarajiwa katika semina ya siku mbili iliyoandaliwa na Mfuko
wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na kudhaminiwa na benki ya
NMB ilifanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdul wakil Jijini Zanzibar.
MGENI Rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar anaeshughulikia masuala ya TEHAMA, Rashid Said Rashid akiwa katika picha ya pamoja na waandaaji na wadhamini wa semina ya siku mbili kwa wastaafu watarajiwa iliyoandaliwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na kufanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdul wakil Jijini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment