Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na Uongozi wa Jumuiya ya Zanzibar Istiqama Charitable Organization Ikulu leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa  Jumuiya ya Zanzibar Istiqama Charitable Organization Bw.Salum Mohamed Salum (wa pili kulia) wakati Uongozi wa Jumuiya hiyo  ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kusalimiana

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa  akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Zanzibar Istiqaama Charitable Organization unaoongozwa na Mwenyekiti wake Bw,Salum Mohamed Salum(wa tatu kushoto)  ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kusalimiana 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiagana na Uongozi wa Jumuiya ya Zanzibar Istiqaama Charitable Organization  baada mazungumzo na Uongozi huo ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya  kusalimiana .[Picha na Ikulu.] 04 Aug 2021.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.