Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili nchini Malawi kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa SADC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu Lilongwe nchini Malawi kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 41wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaotarajiwa kuanza hapo kesho tarehe 17 hadi 18 nchini Malawi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu Lilongwe nchini Malawi kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 41wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaotarajiwa kuanza hapo kesho tarehe 17 hadi 18 nchini Malawi. 

PICHA NA IKULU

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.