Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Amepokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi Kutoka Nchi mbalimbali Ikulu leo 26-8-2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Czech Nchini Mhe. Martin Klepetro, leo Agosti 26,2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Czech Nchini Mhe. Martin Klepetro, mara baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi Martin Ikulu Jijini Dar es salaam 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Chile Nchini Mhe. Maria Alejandra Ikulu Jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Belarus Nchini Mhe. Pavel Vziatkin Ikulu Jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Balozi wa Jamhuri ya Belarus Nchini Mhe. Pavel Vziatkin muda mfupi baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi Pavel Ikulu Jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Australia Nchini Mhe. Luke Joseph Williams Ikulu Jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Australia Nchini Mhe. Luke Joseph Williams mara Baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi Williams Ikulu Jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Colombia Nchini Mhe. Monica Greiff Lindo Ikulu Jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Colombia Nchini Mhe. Monica Greiff Lindo mara baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi Monica Ikulu Jijini Dar es salaam, leo Agosti 26,2021. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.