Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Ashiriki Mbio za CRDB Benk International Marathon.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwaongoza wa Washiriki wa Mbio za CRDB International Marathon katika matembezi ya Kilomita 5, Jijini Dar es Salaam, Agosti 15, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwaongoza wa Washiriki wa Mbio za CRDB International Marathon na kufanya mazoezi ya viungo, katika viwanja vya The Green, Jijini Dar es Salaam,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwaongoza wa Washiriki wa Mbio za CRDB International Marathon na kufanya mazoezi ya viungo, katika viwanja vya The Green, Jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwaongoza wa Washiriki wa Mbio za CRDB International Marathon na kufanya mazoezi ya viungo, katika viwanja vya The Green, Jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akivishwa medani ya ushiriki wa mbio za CRDB International Marathon na Mwenyekiti wa bodi ya CRDB, Dkt. Ally Lady, katika viwanja vya The Green, jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Dk. Julius Mwaisalage, hundi ya Shilingi milioni 104 kwa ajili kusaidia ujenzi wa kituo cha mawasiliano kwa wateja wakati mbio za CRDB International Marathon, katika viwanja vya The Green, jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Dkt. Mohamed Janabi, hundi ya shilingi milioni 200 kwa ajili ya kusaidia upasuaji kwa watoto wenye matatizo ya moyo, wakati wa mbio za CRDB International Marathon, katika viwanja vya The Green, jijini Dar es Salaam,


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi hundi, mshindi wa kwanza Kilimota 65 Baiskeli Wanawake, Swabra Abdallah wakati wa mbio za CRDB International Marathon, katika viwanja vya The Green, jijini Dar es Salaam, 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimkabidhi hundi, mshindi wa kwanza Kilimota 42 Wanawake, Shelmith Nyawira baada ya kumaliza mbio za CRDB International Marathon, katika viwanja vya The Green, jijini Dar es Salaam
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.