Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Akagua Ukarabati wa Majengo ya Shule ya Sekondari ya Wavulana Tabora.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ukarabati wa majengo ya Shule ya Sekondari ya Wavulana Tabora  wakati alipotembelea Shule hiyo, Agosti 28, 2021. Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo, Deogratias Mwambuzi. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ukarabati wa majengo ya Shule ya Sekondari  ya wavulana Tabora  wakati alipotembelea Shule hiyo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kitabua ambacho Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere alisajaliwa kuwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Tabora kwa nambari 590 wakati alipokagua ukarabati wa majengo ya shule hiyo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ukarabati wa majengo ya Shule ya Sekondari  ya wavulana Tabora  wakati alipotembelea Shule hiyo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ukarabati wa majengo ya Shule ya Sekondari  ya wavulana Tabora  wakati alipotembelea Shule hiyo, Agosti 28, 2021. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.