Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akikagua barabara ya Kijichi-Mwanamtoti-Toangoma, Jijini Dar es Salaam, Agosti 16, 2021.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Viongozi mbalimbali baada ya kuwasili katika eneo la barabara ya Kijichi-Mwanamtoti-Toangoma, Jijini Dar es Salaam akiwa katika ziara yake kukagua utekelezaji wa mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam (DMDP) uliopo Buza, Temeke Jijini Dar es Salaam. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua barabara ya Kijichi-Mwanamtoti-Toangoma, Jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua barabara ya Kijichi-Mwanamtoti-Toangoma, Jijini Dar es Salaam,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi Mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam (DMDP) ulipo Buza, Temeke Jijini Dar es Salaam

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua utekelezaji wa mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam (DMDP) uliopo Buza, Temeke Jijini Dar es Salaam ambapo ameiagiza TAKUKURU chukunguza matumizi ya fedha ya mradi huo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.