Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna (wa pili kulia) wakifurahi baada ya kuzindua Asasi ya Kiraia ya NMB Foundation kwenye ukumbi wa hoteli ya Kilimanjaro-Hyatt jijini Dar es salaam, Septemba 6, 2021. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya NMB, Dkt. Edwin Mhende.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna (wa pili kulia) wakifungua milango kuashiria uzinduzi wa Asasi ya Kiraia ya NMB Foundation kwenye ukumbi wa hoteli ya Kilimanjaro-Hyatt jijini Dar es salaam, Septemba 6, 2021. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Mandeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makala na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya NMB, Dkt. Edwin Mhende.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watendaji wa Benki ya NMB baada ya kuzindua Asasi ya Kiraia ya NMB Foundation kwenye ukumbi wa hoteli ya Kilimanjaro-Hyatt jijini Dar es salaam, Septemba 6, 2021. Waliokaa kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makala, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NMB, Dkt. Edwin Mhende, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis na kulia ni Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment