Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Ameshiriki Mkutano wa Durban Jijini New York Marekani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Sept 22,2021 ameshiriki katika kumbukizi ya Miaka 20 ya Azimio la Durban linalofanyika katika ukumbi wa Umoja wa Mataifa UN Jijini New York Marekani.

 PICHA NA IKULU. 
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.