Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Akutana na Kuzungumza na Rais wa Baraza la Ulaya Jijini New York

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa Baraza la Ulaya Mhe. Charles Michael, walipokutana Jijini New York Nchini Marekani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza  na Rais wa Baraza la Ulaya Mhe. Charles Michael, walipokutana Jijini New York Nchini Marekani leo Sept 22,2021.
 PICHA NA IKULU.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.