Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Amemaliza Ziara Yake Kisiwani Pemba na Kuzungumza na Watendaji Katika Mkutano wa Majumuisho.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza  na Watendaji wa Serikali wa  Mikoa miwili ya  Kaskazini  na Kusini Pemba  katika mkutano wake wa  majumuisho ya ziara yake katika Mikoa hiyo, mkutano  uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.
BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Hussein Ali Mwinyi,(hayupo pichani)  akihutubia katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake katika Mikoa ya Kaskazini  na Kusini Pemba, mkutano  huo uliofanyika  katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba
VIONGOZI wa Vyama vya Siasa Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya majumuisho  ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) baada ya kumaliza ziara yake katika Mikoa miwili ya Pemba, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake  Pemba
WAKUU wa Mashirika ya  Serikali wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake wa  majumuisho ya ziara yake katika Mikoa miwili  ya Kaskazini na Kusini Pemba, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha  Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba
WAKUU wa Taasisi na Idara  za Serikali Kisiwani  Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake wa  majumuisho ya ziara yake katika Mikoa miwili  ya Kaskazini na Kusini Pemba, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha  Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba
VIONGOZI wa Vyama vya Siasa Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya majumuisho  ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) baada ya kumaliza ziara yake katika Mikoa miwili ya Pemba, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake  Pemba

MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Mattar Zahor Masoud akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake katika Mikoa Miwili ya Kaskazini na Kusini Pemba uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.

(Picha na Ikulu) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.