Habari za Punde

ACT Wazalendo yafunga Kampeni Konde

Wafuasi wa chama cha ACT wazalendo wakiunga mkono kumpigia kura Mgombea wao katika mkutano wa kufunga kampeni katika uchaguzi Mdogo Jimbo la Konde.


Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Juma Duni Haji akitoa hotuba ya kufungia kampeni na kuwahimiza wananchi wamchague mgombea Ubunge wa Chama hocho katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Konde Muhammed Said Issa katika siku ya Mwisho ya kufunga kampeni hapo kwenye viwanja vya konde Polisi.


Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Juma Duni Haji akimtangaza mgombea Ubunge wa Chama hocho katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Konde Muhammed Said Issa katika siku ya Mwisho ya kufunga kampeni hapo kwenye viwanja vya konde Polisi.

 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.