Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi za jamii Tanzania Bara na Zanzibar Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi (kulia) akizungumza na  Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya  Hifadhi za jamii  Tanzania Bara na Zanzibar     walipofika kusalimiana nae Ikulu jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 22/10/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi (katikati) akizungumza na  Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Huduma za jamii  Tanzania Bara na Zanzibar   (kushoto pichani) walipofika kusalimiana nae Ikulu jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 22/10/2021.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi (kulia) akizungumza na  Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya  Hifadhi   ya jamii Tanzania Bara na Zanzibar  walipofika kusalimiana nae Ikulu jijini Zanzibar leo (katikati) Mkurugenzi Mkuu ZSSF Nd.Nassor Ameir na [Picha na Ikulu] 22/10/2021.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.