RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiwahutubia Wananchi na Askari wa Jeshi la Magereza katika hafla ya
Uzinduzi wa Miradi Minne ya Jeshi kilo katika Gereza la Kingolwira Morogoro.
WAGENI Waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa
Miradi Minne ya Jeshi la Magereza Kingolwira Morogoro wakimsiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo
pichani) akihutubia na kuifungua Miradi hiyo leo 15-10-2021 katika viwanja vya
gereza hilo
Wananchi wakifuatilia hafla ya Uzinduzi wa
Miradi Minne ya Jeshi la Magereza Kingolwira Morogoro wakimsiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo
pichani) akihutubia na kuifungua Miradi hiyo leo 15-10-2021 katika viwanja vya
gereza hilo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Waziri wa Mambo ya Nadani ya Nchi Mhe George Simbachawene wakimsikiliza Kamishna Jenerali wa Magereza Tanzania Suleiman Mzee akizungumza na kutoa maelezo ya utendaji wa Miradi mbalimbali inayosimamiwa na Jeshi la Magereza, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Miradi Minne ya Jeshi hilo katika Magereza ya Kingolwira Morogoro.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Martin Shegella akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Miradi ya Gereza la Kingolwira Morogoro iliozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani )
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe George Simbachawene akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Miradi ya Jeshi la Magereza Kingolwira Morogoro,kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza na Askari wa Jeshi la Magereza na Wananchi wa Kingolwira.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe George Simbachawene (hayupo pichani) akizungumza katika viwanja vya Gereza la Kingolwira Morogoro, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Miradi ya Jeshi la Magereza.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene
akizungumza katika ya Uzinduzi wa Miradi Minne ya Jeshi la Magereza Gereza la
Kingolwira Mkoa wa Morogoro, iliozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kulia ) Kamishna Jenerali wa
Magereza Tanzania Suleiman M.Mzee, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya
gereza hilo
ASKARI wa Jeshi la Magereza wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
(hayupo pichani) akiwahutubia katika viwanja vya Gereza la Kingolwira Morogoro
katika hafla ya Uzinduzi wa Miradi Mnne ya Jeshi la Magereza
WAGENI Waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa
Miradi Minne ya Jeshi la Magereza Kingolwira Morogoro wakimsiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo
pichani) akihutubia na kuifungua Miradi hiyo leo 15-10-2021 katika viwanja vya
gereza hilo
WAGENI Waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa
Miradi Minne ya Jeshi la Magereza Kingolwira Morogoro wakimsiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo
pichani) akihutubia na kuifungua Miradi hiyo leo 15-10-2021 katika viwanja vya
gereza hilo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi , wakizungumza na
kubadilisha mawazo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.George Simbachawene
na Kamishna Jenerali wa Magereza Tanzania Suleiman M.Mzee, baada ya kumalizika
kwa hafla ya Uzinduzi wa Miradi Minne ya Jeshi la Magereza Gereza la Kingolwira
Morogoro leo 15-10-2021.
(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment