WAANDISHI wa Habari kutoka Vyombo mbali mbali vya
habari Pemba, wakifuatilia kwa makini Ufunguzi wa mkutano wa siku moja juu ya
kupambana na Rushwa, ikiwa ni shamrashamra ya kuadhimisha siku ya Rushwa
Duniani, Mkutano uliofanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKURUGENZI wa Mamlaka ya kuzuwia Rushwa na Uhujumu
Uchumi Zanzibar (ZAECA) ACP Ahmed Khamis Makarani, akizungumza na waandishi wa
habari Pemba, ikiwa ni shamrashamra ya kuadhimisha siku ya Rushwa Duniani,
Mkutano uliofanyika mjini Chake Chake.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MWENYEKITI wa Klabu ya Waandishi wa Habrai Pemba Bakar Mussa Juma, akiongoza mkutano wa waandishi wa habari na ZAECA ikiwa ni shamrashamra ya kuadhimisha siku ya Rushwa Duniani, mkutano uliofanyika mjini Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment