Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amefanya Uzinduzi wa Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Ma;pinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salumu ya heshima ya Gwaride Maalumla Uzinduzi wa Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar bleo 19-11-2021.

Gwaride Maalum la Kikosi cha Poli Utalii Diplomasia Zanzibar wakitowa heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kikosi hicho uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikagua Gwaride la Maalum la Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia Zanzibar, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kikosi hicho uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.

Mwakilishi wa Kamishna wa Polisi Zanzibar akizungumza kwa niaba ya Kamishna akitowa maelezo ya uundwaji wa Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia Zanzibar wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kikosi hicho uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar. Kikosi hicho kimezinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.

Mkufunzi wa Mafunzo ya Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia Zanzibar Makamu Mwenyekiti wa TATO kutoka Arusha Ndg.Henry John Kimambo akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar leo. 19-11-2021

Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Leila Mohammed Mussa akizungumza na kutowa maelezo ya kuungwa kwa Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia Zanzibar, wakati wa Uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia Zanzibar, uzinduzi huo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
Mabalozi Wadogo wanaowakilishi Nchi zao Zanzibar na baadhi ya Mawaziri wa SMZ wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuzindua Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar. 
Baadhi ya Wawekezaji wa Utalii Zanzibar wakifutailia na kumsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia Zanzibar, uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Baadhi ya Askari wa Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kikosi hicho uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti Makamu Mwenyekiti "Tanzania Association of Tour Operators Ndg. Henry John Kimambo, kwa mchango wao, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia Zanzibar na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Masoud Ali Mohammed.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.