Habari za Punde

UFUNGUZI WA HOSPITALI YA MEHTA'S PAJE.

Waziri wa Afya , Ustawi wa Jamii , Wazee, Jinsia na Watoto  Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui, (kulia) akiondoa kipazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Hospitali ya Mehta’s,(kushoto) Dr. Ameesh G. Mehta, hafla iliyofanyika Paje Mkoa wa Kusini Unguja .
Waziri wa Afya , Ustawi wa Jamii , Wazee, Jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui, (kulia) akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Mehta’s,(kushoto) Dr. Ameesh G. Mehta, hafla iliyofanyika Paje Mkoa wa Kusini Unguja .
Mmiliki wa Hospitali ya Mehta’s iliyoko Paje Mkoa wa Kusini Unguja, Dr. Ameesh G. Mehta, akitoa maelezo kuhusu Hospitali hiyo, katika Hafla ya Ufunguzi wa Hospitali .
Waziri wa Afya , Ustawi wa Jamii , Wazee, Jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui, akizungumza katika Hafla ya Ufunguzi wa Hospitali ya Mehta’s, huko Paje Mkoa wa Kusini Unguja .

Baadhi ya Waalikwa waliyohudhuria katika hafla ya Ufunguzi wa Hospitali ya Mehta’s, huko Paje Mkoa wa Kusini Unguja .
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.