Habari za Punde

Uzinduzi wa matokeo ya utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi 2020/2021 Golden Tulip Hotel leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua matokeo ya  utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi 2020/2021. kwenye ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Zanzibar, November 24, 2021.  Kulia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hemed Suleiman Abdallah.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa uzinduzi wa   matokeo ya utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi 2020/221 wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza katika uzinduzi huo kwenye hoteli ya Golden Tulip Zanzibar, Novemba 24, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hemed Suleiman Abdallah wakizindua matokeo ya utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi 2020/2021 kwenye ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Zanzibar, Novemba 24, 2021. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana, Kazi na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwezeshaji wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mudrik Ramadhan Soraga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tixon Nzunda nakala ya kitabu cha matokeo ya viashiria muhimu vya soko la ajira kutokana na utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi kwa mwaka 2020/2021 baada ya kuzindua matokeo ya utafiti huo kwenye ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Zanzibar, Novemba 24, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hemed Suleiman Abdallah wakaiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri pamoja na washiriki wa uzinduzi wa matokeo ya utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi 2020/2021 kwenye ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Zanzibar, Novemba 24, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hemed Suleiman Abdallah katika uzinduzi wa matokeo ya utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi 2020/2021 kwenye ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip  Zanzibar, Novemba 24, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.