Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Azungumza na Watalamu wa Utafiti wa Watu Wenye Uwezo wa Kufanya Kazi Nchini.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,  Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (wa nne kulia), Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba  (wa nne kushoto) na Watalaam wa  Utafiti wa Watu Wenye Uwezo wa Kufanya Kazi Nchini, kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 4, 2021. Wa tatu kulia ni Katibu Mkuu, Ofisi  ya Waziri Mkuu, Tixon Nzunda, kulia ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Kaspar Mmuya na wa pili kulia ni Naibu Katibu Mkuu  Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Jamal Adam Katundu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,  Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (wa pili kulia), Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba  (kulia kwa Waziri Mkuu) na Watalaam wa  Utafiti wa Watu Wenye Uwezo wa Kufanya Kazi Nchini, kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 4, 2021. Wa tatu kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi  ya Waziri Mkuu, Tixon Nzunda.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.