WAZIRI
wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais, Dk. Saada Mkuya Salum akizungumza na
Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali kuhusiana na maendeleo yaliopatikana
katika miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia wizara yake, mkutano huo ulifanyika
katika ukumbi wa Wizara ya Utalii Kikwajuni.

WAANDISHI wa Habari wa Vyombo mbalimbali wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais, Dk. Saada Mkuya Salum akizungumza kuhusiana na maendeleo yaliopatikana katika miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia wizara yake, mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Wizara ya Utalii Kikwajuni.
No comments:
Post a Comment