Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Mpango Amekutana na Kuzungumza na Rais Mstaaf wa Zabnzibar Awamu ya Saba Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Saba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein wakati alipofika kumtembelea Makamu wa Rais katika Makazi yake Osterbay Jijini Dar es salaam. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Saba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakati alipofika kumtembelea Makamu wa Rais katika Makazi yake Osterbay Jijini Dar es salaam leo Disemba 10, 2021.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Saba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein wakati alipofika kumtembelea Makamu wa Rais katika Makazi yake Osterbay Jijini Dar es salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Saba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wakati alipofika kumtembelea Makamu wa Rais katika Makazi yake Osterbay Jijini Dar es salaam. (Kushoto kwa Makamu wa Rais ni Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango na kulia kwa Dkt. Shein ni Mkewe Mwanamwema Shein) Desemba 10, 2021.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.