Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Amefungua Kiwanda cha Alsewedy Electric East Africa LTD Kisarawe 11 Kigamboni Jijini Dar es salaam leo tarehe 06 Disemba 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua rasmi Awamu ya Kwanza ya Kiwanda cha Vifaa vya Umeme cha Elsewedy Electric East Africa LTD kilichopo Kisarawe II Kigamboni, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 06 Desemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Kampuni ya Elsewedy Bw. Ahmed Elsewedy, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Geoffrey Mwambe (kulia), wakati wa  uzinduzi rasmi wa Awamu ya Kwanza ya Kiwanda cha Vifaa vya Umeme cha Elsewedy Electric East Africa LTD kilichopo Kisarawe II Kigamboni, Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye uzinduzi wa Awamu ya Kwanza ya Kiwanda cha Vifaa vya Umeme cha Elsewedy Electric East Africa LTD kilichopo Kisarawe II Kigamboni, Jijini Dar es Salaam
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.