Balozi wa Tanzania nchini Comoro Pereira Silima akizungumza na Rais wa visiwa vya Comoro H E Azali Assoumani alipofika Ikulu ya Rais kukabidhi hati za utambulisho Moroni leo
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Pereira Silima akikagua gwaride rasmi alipofika Ikulu ya Rais kukabidhi hati za utambulisho Moroni leo
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Pereira Silima akimkabidhi Rais wa visiwa vya Comoro H E Azali Assoumani hati za utambulisho Ikulu ya Rais Moroni leo
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Pereira Silima akiagana na Rais wa visiwa vya Comoro H E Azali Assoumani baada ya kukabidhi hati za utambulisho Ikulu ya Rais Moroni leo
No comments:
Post a Comment