Habari za Punde

Hafla ya uzinduzi wa Jengo la Ushirika wa Airport Tax

Jengo la Ushirika wa Airport Tax lililozinduliwa na Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi B Mkoa wa Mjini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akikunjuwa kitambaa kuashiria Uzinduzi wa Jengo la Ushirika wa Airport Tax Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi B Mkoa wa Mjini Unguja. Ikiwa ni shamra shamra za miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Jengo la Ushirika wa Airport Tax Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi B Mkoa wa Mjini Unguja. Ikiwa ni shamra shamra za miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akipatiwa maelezo na Kuhusiana na jingo na Katibu wa Airport Tax katika hafla ya Uzinduzi wa Jengo la Ushirika wa Airport Tax Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi B Mkoa wa Mjini Unguja. Ikiwa ni shamra shamra za miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
-Baadhi ya Wanachama wa Ushirika wa Airport Tax waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Jengo la Ushirika wa Airport Tax Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi B Mkoa wa Mjini Unguja. Ikiwa ni shamra shamra za miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akitoa Msaada wa Baiskeli kwa Kijana Mwenye mahitaji maalum  Ahmad Mohamed Rubea katika hafla ya Uzinduzi wa Jengo la Ushirika wa Airport Tax Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi B Mkoa wa Mjini Unguja. Ikiwa ni shamra shamra za miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akitoa Msaada wa Chakula  kwa motto Mwenyemahitaji maalum Warda Abdul-wahab katika hafla ya Uzinduzi wa Jengo la Ushirika wa Airport Tax Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi B Mkoa wa Mjini Unguja. Ikiwa ni shamra shamra za miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Jengo la Ushirika wa Airport Tax Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi B Mkoa wa Mjini Unguja. Ikiwa ni shamra shamra za miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.