Habari za Punde

Makamu wa Rais Dr Mpango atoa pole kwa Dkt Bilal kufuatia kifo cha mama yake mzazi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohammed Gharib Bilal alipofika kutoa pole pamoja na familia yake kufuatia kifo cha Mama yake Dkt. Bilal aliyefariki tarehe 3 Januari 2022 na kuzikwa tarehe 4 Januari 2022 kijiji cha Kiboje mkoa wa Kusini Unguja . Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akitoa pole kwa Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohammed Gharib Bilal pamoja na familia yake kufuatia kifo cha Mama yake Dkt. Bilal aliyefariki tarehe 3 Januari 2022 na kuzikwa tarehe 4 Januari 2022 kijiji cha Kiboje mkoa wa Kusini Unguja . 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na familia ya Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohammed Gharib Bilal alipofika kutoa pole kufuatia kifo cha Mama yake Dkt. aliyefariki tarehe 3 Januari 2022 na kuzikwa tarehe 4 Januari 2022 kijiji cha Kiboje mkoa wa Kusini Unguja .

PICHA – OFISI YA MAKAMU WA RAIS JAN 24,2022.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.