Habari za Punde

Mhe. Rais Samia awaapisha viongozi aliowateua karibuni leo Ikulu Chamwino Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Nape Moses Mnauye (Mb) kuwa Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari leo tarehe 10 Januari, 2022 katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa (Mb) kuwa Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo leo tarehe 10 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji (Mb) kuwa Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara leo tarehe 10 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Pindi Hazara Chana (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) leo tarehe 10 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Khamis Hamza Khamis (Mb) kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) leo tarehe 10 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Mwanaidi Ali Khamis (Mb) kuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum leo tarehe 10 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Ummy Hamis Nderiananga (Mb) kuwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu leo tarehe 10 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete (Mb) kuwa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi leo tarehe 10 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Prof. Eliamani Mathew Sedoyeka kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia leo tarehe 10 Januari, 2022 Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Juma Selemani Mkomi kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii leo tarehe 10 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Abdalla Hassan Mitawi kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) leo tarehe 10 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Jaji Jacob Casthom Mwatebela Mwambegele kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi. leo tarehe 10 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Jaji Sam Mpya Rumanyika kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani. leo tarehe 10 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Patience Kilanga Ntwina kuwa katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora. leo tarehe 10 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.