Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi afungua Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar

WASHIRIKI wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika, uliofanyika Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar.
WASHIRIKI wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika, uliofanyika Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Kitabu kinachuzungumzia Mabadiliko ya Tabia Nchi, wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Jamal Kassim Ali na (kulia kwa Rais) Naibu Kamishna wa Bima Tanzania (TIRA)Bi. Khadija.Said 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha Kitabu kinachuzungumzia Mabadiliko ya Tabia Nchi, baada ya kukizindua wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Jamal Kassim Ali na (kulia kwa Rais) Naibu Kamishna wa Bima Tanzania (TIRA)Bi. Khadija.Said 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua tovuti ya “Africa College of Insurance and Social Protection” (ACISP).www.acisp.africa,www.acisp.net, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika “Africa Insurance Retreat” uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar. 
WASHIRIKI wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.