Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na Mhe Rais Samia, Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo.11-1-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo.11-1-2022.(Picha na Ikulu)  
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo,11-1-2022.(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.