Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi atembelea maonyesho ya Expo 2020 DubaiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Banda la Maonesho la Tanzania Nchini Dubai, wakati hafla ya ufunguzi wa Wiki ya Uendelezaji wa Masuala ya Kibinadamu na utowaji wa zawadi kwa washindi wa zawadi ya “Zayed Sustainability Prize Awards” akipata maelezo kutoka kwa Bw.Rossan Mduma, wakati akitembelea banda hilo, akiwa katika ziara yake ya Kiserikali katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (U.A.E) (kulia kwa Rais) Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu/Balozi Mohammed Abdalla Mtonga.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Banda la Maonesho la Tanzania Nchini Dubai,baada ya hafla ya ufunguzi wa Wiki ya Uendelezaji wa Masuala ya Kibinadamu na utowaji wa zawadi kwa washindi wa zawadi ya “Zayed Sustainability Prize Awards” akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Banda la Maonesho la Tanzania Bi.Getrude Ng’weshemi,wakati hafla ya Maonesho ya Expo 2020 yanayofanyika katika viwanja vya maonesho Dubai, wakati  akitembelea banda hilo, akiwa katika ziara yake ya Kiserikali katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (U.A.E).(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza na kupata maelezo kutoka wa Afisa wa Banda la Maonesho la Tanzania  wakati wa maonesho ya Expo Dubai 2020,yanayofanyika katika viwanja vya maonesho Nchini Dubai, baada ya ufunguzi wa Wiki ya Uendelezaji wa Masuala ya Kibinadamu na utowaji wa zawadi kwa washindi wa shindano la “Zayed Sustainability Prize Awards” na(kulia kwa Rais) Balozi wa Tanzania Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (U.A.E) wakati wa ziara yake ya kiserikali.(Picha na Ikulu)
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.