MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akipokea maandamano ya
Vijana wa UVCCM Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za miaka 58 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar huko katika uwanja wa mpira wa Makombeni Wilaya ya Mkoani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi Taifa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akipokea maandamano ya
Vijana wa UVCCM Zanzibar(hawapo pichani), ikiwa ni shamrashamra za Miaka 58 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, huko katika uwanja wa mpira Makombeni Wilaya ya
Mkoani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
VIONGOZI wa Mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakifuatilia kwa makini hutuba ya
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa
kilele cha matembezi ya Vijana wa UCCM Zanzibar, huko katika uwanja wa Mpira wa
Makombeni Wilaya ya Mkoani.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAZIRI wa Habari Vijana Utaduni na Michezo Zanzibar
Tabia Maulid Mwita (mtandio mwenkundu) na waziri wa Utalii na Mambo ya Kale
Zanzibar Lela Mohamed Mussa, wakicheza mziki kutoka kikundi cha BIG Star,
wakati wa kilele cha Matembezi ya Vijana wa UVCCM Zanzibar, huko katika uwanja
wa Mpira wa Makombeni Wilaya ya Mkoani.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akipokea picha ya Baba wa
Taifa Mwalimu Julias Kambarage Nyerere, kutoka kwa kiongozi wa matembezi ya
UVCCM Abdalla Koti.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassa, akiangalia tunzo maalumu ya
heshima aliyokabidhiwa na Katibu Mkuu UVCCM Taifa Kenani Laban Kihomgosi,
wakati wa kilele cha Matembezi ya Vijana wa UVCCM Zanzibar, huko katika uwanja
wa Mpira wa Makombeni Wilaya ya Mkoani.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassa, akimkabidhi Cheti cha Heshima
Habib Rashid kwa niaba ya Vijana wa UVCCM Tanzania bara walioshiriki matembezi
Maalumu ya kuadhimisha miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya zanzibar, wakati wa
kilele cha Matembezi ya Vijana wa UVCCM Zanzibar, huko katika uwanja wa Mpira
wa Makombeni Wilaya ya Mkoani.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassa, akizungumza katika kilele
cha Matembezi ya Vijana wa UVCCM Zanzibar, katika kuadhimisha miaka 58 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, huko katika uwanja wa Mpira wa Makombeni Wilaya
ya Mkoani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)

No comments:
Post a Comment