Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi wanne Pia Apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye-Ikulu Chamwino Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi ambae pia ni Waziri wa Masuala ya Afrika Mashariki, Vijana, Michezo na Utamaduni Mhe. Balozi Ezechiel Nibigira, mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi uliowasilishwa na Mjumbe maalum ambae pia ni Waziri wa Masuala ya Afrika Mashariki, Vijana, Michezo na Utamaduni Mhe. Balozi Ezechiel Nibigira, mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Saudi Arabia hapa nchini Mhe. Abdalla Ali M. Alsheryan, leo tarehe 14 Januari 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Saudi Arabia hapa nchini Mhe. Abdalla Ali M. Alsheryan, mara baada ya kuwasilisha Hati yake ya Utambulisho leo tarehe 14 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Saudi Arabia hapa nchini Mhe. Abdalla Ali M. Alsheryan, mara baada ya kuwasilisha Hati yake ya Utambulisho leo tarehe 14 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Korea hapa nchini Mhe. Kim Sun Pyo leo tarehe 14 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Indonesia hapa nchini Mhe. Triyogo Jatmiko leo tarehe 14 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Indonesia hapa nchini Mhe. Triyogo Jatmiko mara baada ya kuwasilisha Hati yake ya Utambulisho leo tarehe 14 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Balozi wa Indonesia hapa nchini Mhe. Triyogo Jatmiko mara baada ya mazungumzo leo tarehe 14 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Morocco hapa nchini Mhe. Zakaria El Goumiri leo tarehe 14 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Morocco hapa nchini Mhe. Zakaria El Goumiri leo tarehe 14 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Morocco hapa nchini Mhe. Zakaria El Goumiri, mara baada ya kuwasilisha Hati ya Utambulisho leo tarehe 14 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.