Habari za Punde

Waziri Mhe.Dkt.Pindi Chana Atembelea Ofisi za Tume ya Uchaguzi Dodoma.

Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana (Kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt.Wilson Charles Mahera Mara baada ya Kuwasili katika ofisi za Tume ya Taifa kwa ziara ya kikazi.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs C. Mwambegele (Kushoto), akiwa na wageni wake Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana (Kulia) na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga (anayetia saini katika kitabu cha wageni) mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Tume ya Taifa ya uchaguzi Tarehe 27 Januari 2022. Wa pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt.Wilson CharlMahera.
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt.Wilson Charles Mahera( Kulia), akizungumza na  Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana (katikati) na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. Ummy Nderiananga walipotembelea Makao makuu ya ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi Njedengwa jijini Dodoma tarehe 27 Januari 2022.
Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana akitembezwa maeneo mbalimbali ya Jengo la Tume.
Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana akiwa na Menejinenti ya Tume.
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt.Wilson Charles Mahera (Kushoto) akifafanua jambo kwa Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana (wa pili kutoka kushoto) na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga (wa pili kutoka kulia) wakati wa ziara yao katika makao makuu ya ofisi za Tume ya Taifa ya uchaguzi.
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt.Wilson Charles Mahera (Kulia) akizungumza na Menejimenti na Watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakati wa ziara ya Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana tarehe 27 Januari, 2022.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga akizungumza na Menejimenti na Watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi tarehe 27 Januari 2022. Kulia ni Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana.
Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana (Kulia) akizungumza na Menejimenti na Watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi tarehe 27 Januari 2022 mara baada ya kutembelea ofisi hizo zilizopo Ndejengwa Jijini Dodoma.
Watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakimsikiliza Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana (Hayupo Pichani)  alipofanya ziara katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma tarehe 27 Januari 2022.
Watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakimsikiliza Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana (Hayupo Pichani)  alipofanya ziara katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma tarehe 27 Januari 2022.
Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana (katikati) mstari wa mbele akiwa katika picha ya pamoja na Menejinenti ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.