RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Bodi ya Wakurugenzi ya (ZRB)
na Uongozi wa (ZRB) alipotembelea kwa mara ya kwanza Ofisi za Bodi ya Mapato
Zanzibar.(ZRB) Mazizini Jijini Zanzibar, mazungumzo hayo yamefanyika katika
ukumbi wa mkutano wa ofisi hiyo na kutengua uteuzi wa Kamishna Mkuu wa (ZRB)
Bw. Salum Yussuf

Bw. Salum Yussuf Ali.

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati wa mkutanon wake na Bodi ya Wakurugenzi ya (ZRB)
na Uongozi wa (ZRB) alipotembelea kwa mara ya kwanza Ofisi za Bodi ya Mapato
Zanzibar.(ZRB) Mazizini Jijini Zanzibar, mazungumzo hayo yamefanyika katika
ukumbi wa mkutano wa ofisi hiyo na kutengua uteuzi wa Kamishna Mkuu wa (ZRB)
Bw. Salum Yussuf Ali.
MAOFISA wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB)
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na
Wakurugenzi wa (ZRB) na Uongozi wa Mamlaka hiyo uliofanyika katika ukumbi wa
Ofisi za (ZRB) Mazizini Jijini Zanzibar.
MAOFISA wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB)
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na
Wakurugenzi wa (ZRB) na Uongozi wa Mamlaka hiyo uliofanyika katika ukumbi wa
Ofisi za (ZRB) Mazizini Jijini Zanzibar
No comments:
Post a Comment