Habari za Punde

Katibu Mkuu wa CCM Chongolo Afungua Barabara ya Ukombozi.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akiwasili kwenye eneo la uzinduzi wa barabara ya Ukombozi yenye urefu wa kilomita 1.8 na kupokelewa na mamia ya wanachi, Kibaha mkoani Pwani.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha SWAPO cha Namibia Komredi Sophia Shaningwa (katikati) pamoja na Katibu Mkuu wa chama cha ZANU PF cha Zambia Dkt. Obert Mpofu (kushoto) mara baada ya kuwasili kwenye eneo la uzinduzi wa barabara ya Ukombozi yenye urefu wa kilomita 1.8 na kupokelewa na mamia ya wanachi, Kibaha mkoani Pwani.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akiwaongoza viongozi wa vyama rafiki vya Ukombozi kukata utepe kama ishara ya kuzindua  barabara ya Ukombozi yenye urefu wa kilomita 1.8 na kupokelewa na mamia ya wanachi, Kibaha mkoani Pwani.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akiwa na Viongozi wa Vyama rafiki vya Ukombozi Kusini mwa Afrika kwenye moja ya darasa la Shule ya Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere kilichopo Kibaha, mkoani Pwani ambapo kitafunguliwa rasmi tarehe 23 februari 2022 na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akiwa na Viongozi wa Vyama rafiki vya Ukombozi Kusini mwa Afrika kwenye moja ya darasa la Shule ya Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere kilichopo Kibaha, mkoani Pwani ambapo kitafunguliwa rasmi tarehe 23 februari 2022 na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.