Habari za Punde

Kutoka Bungeni Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu, bungeni jiiini Dodoma, Februari 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako bungeni jijini Dodoma, Februari 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka, bungeni jijini Dodoma, Februari 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.