Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Baraza la Umoja wa
Ulaya Mhe. Charles Michel mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Baraza
hilo Brussels nchini Ubelgiji leo tarehe 15 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Baraza la Umoja wa
Ulaya Mhe. Charles Michel mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Baraza
hilo Brussels nchini Ubelgiji leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amewasili katika chumba cha Mkutano kwa ajili ya mazungumzo na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya Mhe. Charles Michel leo tarehe 15 Februari, 2022 katika Makao Makuu ya Baraza hilo Brussels nchini Ubelgiji.
PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment