Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Mwanamfalme wa Abu Dhabi Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan- Abu Dhabi

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mwanamfalme wa Abu Dhabi na Naibu Kamanda wa Majeshi ya Nchi za Falme za Kiarabu UAE Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan mara baada ya kuwasili Abu Dhabi leo tarehe 25 Februari, 2022. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.