Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika White House Jijini Dodoma

Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa  wakiwa katika kikao maalum kilichofanyika White House Jijini Dodoma kikiongozwa na  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichokutana leo tarehe 08 Februari 2022 katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Jijini Dodoma.

 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.