Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili nchini mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya Kikazi katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam wakati akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu UAE leo tarehe 28 Februari, 2022.

  

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam wakati akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu UAE leo tarehe 28 Februari, 2022.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.