Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo ya Ubelgiji, Luxembourg, Afrika, Caribbean na Pacific (CBL-ACP), Brussels nchini Ubelgiji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo ya Ubelgiji, Luxembourg, Afrika, Caribbean na Pacific (CBL-ACP), Brussels nchini Ubelgiji leo tarehe 17 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa  Shirika la Forodha Duniani  (WCO) Brussels nchini Ubelgiji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa  Shirika la Forodha Duniani  (WCO) Brussels nchini Ubelgiji
Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) Paul Koyi akisaini Hati ya makubaliano na Makamu wa Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo ya Ubelgiji, Luxembourg, Afrika, Caribbean na Pacific (CBL-ACP) Amaury Luyckx leo tarehe 17 Februari, 2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.