Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amelifungua Kongamano la Kielimu Jijini Dar es Salaam Katika Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dk.Ahmed Jaylan Kiongozi wa Ujumbe Muslim World League kutoka Nchini Saudi Arabia akitowa maelezo wakati akitembelea maonesho, kabla ya kulifungua Kongamano la Kielimu la Dini lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam leo 27-2-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Kielimu la Dini lililoandaliwa na Umoja wa Wanavyuoni Tanzania kwa kushirikiana na “Muslim World League “  kutoka Saudi Arabia, linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam leo 27-2-2022
BAADHI ya Viongozi wa Dini wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifumgua Kongamano la Kielimu la Dini linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam leo 27—2-2022

WASHIRIKI wa Kongamano la Kielimu wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wakati mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam leo 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaab, baada ya kulifungua Kongamano la Kielimu linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam leo 27-2-2022, lililoandaliwa na Umoja wa Wanavyuoni Tanzania kwa kushirikiana na Muslim World League kutoka Saud Arabia

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Dini baada ya kulifungua Kongamano la Kielimu  linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam leo 27-2-2022.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.