Habari za Punde

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Ambae Pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwinyi Amehudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Jijini Dodoma leo.

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akisoma kabrasha kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika katika ukumbi wa White House Dodoma na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ambae pia ni Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mjumbe wa Kamari Kuu ambae pia ni Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Ackson

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma leo 31-3-2022.(Picha na Ikulu)  

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma leo 

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma leo 31-3-2022.(Picha na Ikulu)  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.