Habari za Punde

Mkutano wa wazi wa kuelimisha jamii juu ya masuala ya kisheria MtambileMKURUGENZI wa Idara ya Katiba na Msaada wa Kisheria Zanzibar, kutoka Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Hanifa Ramadhan Said akizungumza katika mkutano wa wazi wa kuelimisha jamii juu ya masuala ya kisheria huko katika shehia ya minazini Jimbo la Mtambile.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA
MKURUGENZI wa Idara ya Katiba na Msaada wa Kisheria Zanzibar, kutoka Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Hanifa Ramadhan Said akizungumza katika mkutano wa wazi wa kuelimisha jamii juu ya masuala ya kisheria huko katika shehia ya minazini Jimbo la Mtambile.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA

NAIBU Mrajis wa Radhi Asha Suleiman Said, akitoa ufafanuzi wa maswali yaliyoulizwa na wananchi wa shehia ya minazini Jimbo la Mtambele Wilaya ya Mkoani, katika mkutano wa wazi wa kuelimisha jamii juu ya masuala ya kisheria.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MWANASHERIA kutoka Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Tawi la Pemba, Safia Saleh Sultani akijibu hoja za kisheria za wananchi wa shehia ya Minazini Jimbo la Mtambile Wilaya ya Mkoani, katika mkutano wa wazi wa kuelimisha jamii juu ya masuala ya kisheria., (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

Asila Abdalla Ali mkaazi wa Minazini akiuliza swali katika mkunao wa wazi wa kuelimisha jamii juu ya masuala ya kisheria, mkutano ulioandaliwa na Idara ya katiba na msaada wa kisheria Zanzibar, mkutano uliofanyika katika shehia ya Minazini Jimbo la Mtambile(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

BAADHI ya wananchi wa shehia ya Minazini jimbo la Mtambile Wilaya ya Mkoani, wakifuatilia kwa makini Mkutano wa wazi wa kuelimisha jamii juu ya masuala ya kisheria, ulioandaliwa na Idara ya Katiba na msaada wa kisheria Zanziba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA).


 AFISA Sheria kutoka Idara ya Msaada wa Kisheria Zanzibar Salma Suleiman Abdulla, akizungumza katika mkutano wa wazi wa kuelimisha jamii juu ya masuala ya kisheria, mkutano uliandaliwa na idara ya katiba na msaada wa kisheria Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.