Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uholanzi nchini

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Mhe. Wiebe de Boer, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 10-3-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Mhe. Wiebe de Boer, (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Mhe. Wiebe de Boer, baada ya kumaliza mazungumzo yao yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Mhe.Wiebe de Boer, wakati akimkabidhi kitabu baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar alipofika kijitambulisha leo 10-3-2022.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.