RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Mhe.Sayyid Badr Bin Hamad Bin Hamood Al Busaid alipowasili Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu akiwa na ujumbe wake.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Mhe.Sayyid Badr bin Hamad bin Hamood Al Busaid (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake, wakiwa katika mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Mhe. Sayyid Badr bin Hamad bin Hamood Al Busaid, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu))
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Mhe. Sayyid Badr bin Hamad bin Hamood Al Busaid, wakiagana baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
TASAC YATOA MAFUNZO KWA WAMILIKI WA VYOMBO VYA USAFIRI MAJINI
-
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) jana tarehe 16 Septemba, 2025
lilifanya mafunzo ya usalama na utunzaji wa mazingira majini kwa wadau wa
usaf...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment