Habari za Punde

Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi azungumza na Wadau wa Serikali za Mitaa Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wadau wa Serikali za Mitaa Zanzibar, (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Masoud Ali Mohammed, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-3-2022.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.