Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Africa50, Alain Ebobisse aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 23 Machi, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Africa50, Alain Ebobisse mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 23 Machi, 2022.
PUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA KITUO KIPYA CHA MAFUTA MKOA WA SINGIDA
-
Na Mwandishi Wetu
Puma Energy Tanzania imezindua rasmi kituo chake kipya cha mafuta katika
Mkoa wa Singida, hatua inayoonyesha dhamira yake ya kupanua up...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment